Kutoka 14:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Halafu mimi nitafanya moyo wa mufalme wa Misri kuwa mugumu, naye atawafuatilia. Nami nitajipatia utukufu kwa kumwangamiza yeye na jeshi lake. Halafu Wamisri watatambua kwamba mimi ni Yawe.” Basi, Waisraeli wakafanya hivyo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |