Wakachoma mwana-kondoo wa Pasaka juu ya moto kufuatana na maagizo; vilevile wakatokotesha sadaka takatifu katika vyungu, masufuria na kwenye vikaango, na kuwagawanyia upesiupesi watu wasiofanya kazi ya ukuhani.
Aliteremusha moto kutoka juu, ukanichoma hata ndani ya mifupa yangu. Alinitegea wavu akaninasa, kisha akanirudisha nyuma, akaniacha peke yangu na kuzimia muchana kutwa.
Lakini matumbotumbo na miguu ya nyama yule vitasafishwa kwa maji. Kuhani atateketeza sadaka yote juu ya mazabahu. Hiyo ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto yenye harufu nzuri ya kumupendeza Yawe.