Kutoka 1:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Rubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Haya ni majina ya watu watakaokusaidia: Kabila la Rubeni: Elisuri mwana wa Sedeuri; Kabila la Simeoni: Selumieli mwana wa Suri-Sadai; Kabila la Yuda: Nasoni mwana wa Aminadabu; Kabila la Isakari: Netaneli mwana wa Suari; Kabila la Zebuluni: Eliabu mwana wa Heloni; Kabila la Efuraimu: Elisama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri; Kabila la Benjamina: Abidani mwana wa Gideoni; Kabila la Dani: Ahiezeri mwana wa Amishadai; Kabila la Aseri: Pagieli mwana wa Okrani; Kabila la Gadi: Eliasafu mwana wa Deueli; Kabila la Nafutali: Ahira mwana wa Enani.