Kumbukumbu la Sheria 2:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 “Hivyo tukaendelea na safari yetu, tukawapita wandugu zetu, wazao wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaepuka vilevile ile njia ya bonde na sehemu za miji ya Elati na Esioni-Geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia jangwa la Moabu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |