Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Kumbukumbu la Sheria 10:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

1 “Kisha Yawe akaniambia: ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao. Kuja kwangu huku juu kwenye mulima,

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Kumbukumbu la Sheria 10:1
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Ndani ya chumba kile kulikuwa chombo cha kufukizia ubani, kilichotengenezwa na zahabu. Na kulikuwa vilevile Sanduku la Agano lililopakaliwa zahabu pande zote. Ndani ya sanduku lile kulikuwa kopo la zahabu lenye mana, na fimbo ya Haruni iliyoota vichipukizi juu yake. Kulikuwa vilevile vibao vya mawe vyenye Maandiko ya Agano la Mungu.


Basi, Musa akachonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza. Akaondoka asubui mapema, akapanda juu ya mulima Sinai, kama vile Yawe alivyomwamuru, akiwa na vile vibao viwili vya mawe katika mikono yake.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ