Isaya 66:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Kuna watu wanaojitakasa na kujisafisha wapate kuingia kwenye bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati yao. Watu wale wanakula nguruwe, panya na vyakula vingine vyenye kuwa machukizo. Watu wale hakika watakufa wote pamoja. –Ni ujumbe wa Yawe.– အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |