Isaya 65:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Nitawalipiza maovu yao wayalipe vilevile maovu ya babu zao. –Ni Yawe anayesema hivyo.– Wao waliifukizia ubani miungu yao kwenye milima, wakanitukana mimi kule juu ya vilima. Nitawalipa sawa inavyostahili, watayalipa matendo yao ya zamani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |