Isaya 65:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Hawatajenga nyumba na watu wengine wakae ndani yake, wala kulima chakula kikuliwe na watu wengine. Maana watu wangu niliowachagua wataishi maisha marefu kama miti; wachaguliwa wangu watafurahia matunda ya jasho lao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |