Isaya 63:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, anayefika kutoka Bosira na nguo ya madoa mekundu? Ni nani huyo aliyevaa nguo ya utukufu, anatembea kwa nguvu zake kubwa? Ni mimi Yawe ninayetangaza ushindi wangu; nami ni mwenye nguvu ya kuokoa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |