Isaya 62:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Maana kama vile kijana mwanaume anavyomwoa binti, ndivyo aliyekujenga atakavyokuwa mume wako. Kama bwana arusi anavyofurahi juu ya bibi arusi, ndivyo Mungu atakavyofurahi juu yako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |