Isaya 60:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Inua macho uangalie pande zote; wote wanakusanyika wakuje kwako. Wana wako watafika toka mbali, wabinti zako watabebwa katika mikono. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Watawarudisha wandugu zenu wote kutoka katika mataifa yote kama matoleo yangu mimi Yawe. Watawaleta juu ya farasi, juu ya nyumbu, juu ya ngamia na ndani ya magari na juu ya vipoyi mpaka Yerusalema, kwenye mulima wangu mutakatifu. Watawaleta kama Waisraeli wanavyoleta sadaka ya unga katika chombo safi mpaka ndani ya nyumba yangu mimi Yawe.