Isaya 6:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Kisha akaniambia: Ufanye akili za watu hawa kuwa ngumu, masikio yao yasisikie, macho yao yasione; wasipate kuona kwa macho yao, wasipate kusikia kwa masikio yao, wasipate kuelewa kwa akili zao, na kunigeukia, nao wapate kupona. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |