Isaya 58:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Kila siku wananitafuta, wanatamani kujua njia zangu, kama vile wao ni taifa linalotenda haki, taifa lisilosahau agizo la Mungu wao. Wanataka niamue kwa haki, na kutamani kuikaa karibu na Mungu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |