Isaya 56:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Wageni watakaoshikamana nami Yawe, kwa kunitumikia na kwa kupenda jina langu, na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika siku ya Sabato bila kuichafua, watu watakaofuata agano langu, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |