Isaya 54:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Nitafanya kama nilivyofanya wakati wa Noa. Wakati ule niliapa kwamba sitaifunika tena dunia kwa mafuriko ya maji. Basi sasa ninaapa kwamba sitakukasirikia tena wala sitakukaripia tena. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |