Isaya 51:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Maana watakuliwa na nondo kama vile nguo; vidudu watawakula kama wanavyokula nguo ya manyoya ya kondoo. Lakini ukombozi ninaouleta mimi utadumu milele; wokovu wangu hautakuwa na mwisho. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |