Isaya 51:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Mimi Yawe nitaufariji Sayuni, nitatengeneza pahali pake pote palipoharibika. Nitazifanya mbuga zake kama shamba la Edeni, jangwa yake kama bustani ya Yawe. Ndani yake kutapatikana furaha na shangwe, na nyimbo za shukrani zitasikilika humo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |