Isaya 51:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Nimeyaweka maneno yangu katika kinywa chako; nimekuficha katika kivuli cha mukono wangu. Mimi nilizitandaza mbingu, nikaiweka misingi ya dunia. Mimi ninawaambia, enyi watu wa Sayuni: Ninyi ni watu wangu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |