Isaya 5:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kuzimu inawangoja kwa hamu kubwa, imepanua kinywa chake mpaka mwisho. Waheshimiwa pamoja na watu wengine wa Yerusalema wanaingia humo makundi kwa makundi, vilevile na wote wanaushangilia kwa furaha. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |