Isaya 49:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Lakini sasa Yawe anasema. Aliniita tangu katika tumbo la mama kusudi nipate kuwa mutumishi wake, nilirudishe taifa la Yakobo kwake na kukusanya wazao wa Israeli kwake. Yawe amenijalia heshima mbele yake. Mungu wangu amekuwa nguvu yangu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |