Isaya 49:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Kwa hiyo utajiuliza mwenyewe: Nani aliyenizalia watoto hawa wote? Nilikufiwa na watoto bila kupata wengine. Nilipelekwa katika uhamisho na kutupwa mbali; nani basi aliyewalea watoto hawa? Mimi niliachwa peke yangu, sasa, hawa wametoka wapi? အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |