Isaya 47:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Lakini hasara itakupata ambayo hautaweza kujiepusha nayo. Magumu yatakutokea ambayo hautaweza kuyapinga; maangamizi yatakufikia kwa rafla ambayo haujapata kuyaona hata kidogo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |