Isaya 47:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Shuka, uikae katika mavumbi, ewe bikira, binti wa Babeli! Ikaa chini pasipo kiti cha kifalme, ewe binti wa Wakaldea! Tokea sasa hautaitwa tena murembo wala mwenye kupendeza. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |