Isaya 45:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Hivi ndivyo anavyosema Yawe aliyeumba mbingu, ndiye Mungu aliyeipa dunia umbo na kuifanya na kuiimarisha. Hakuiumba kusudi ibaki ukiwa, lakini aliipa umbo kusudi iikaliwe na viumbe vyake: Mimi ni Yawe, wala hakuna mwingine. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |