Isaya 45:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Ni mimi niliyemwamuru Kiro akuje, atimize mapenzi yangu. Nitazifanikisha njia zake zote. Ataujenga upya muji wangu Yerusalema, na kuwapa uhuru watu wangu wanaokuwa katika uhamisho, bila kutaka malipo wala zawadi. –Ni Yawe wa majeshi anayesema hivyo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |