Isaya 42:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Kwa hiyo aliwamwangia kasirani yake kali, akawaacha kupatwa na vita kali. Hasira yake iliwawakia kila upande, lakini wao hawakuelewa chochote; iliwachoma, lakini hawakufikiri juu ya jambo hilo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |