Isaya 42:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Nitawaongoza vipofu katika njia wasiyoifahamu, nitawaongoza katika njia ambazo hawazijui. Mbele yao nitaligeuza giza kuwa mwangaza, na pahali penye kuharibika patakuwa laini. Huo ndio mupango wangu wa kufanya, nami nitautimiza. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |