Isaya 41:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Ni nani aliyemwita shujaa toka mashariki, mutu ambaye anapata ushindi popote anapoenda? Mimi ninayaweka mataifa katika mikono yake, naye anawaponda wafalme chini ya miguu yake! Upanga wake unawafanya kuwa kama mavumbi, kwa upinde wake anawapeperusha kama maganda. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |