Isaya 40:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200228 Ninyi hamujui bado? Hamujapata kusikia? Yawe ndiye Mungu wa milele; yeye ndiye Muumba wa kila kitu katika dunia. Yeye haregei hata kidogo wala kuchoka. Maarifa yake hayachunguziki. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |