Isaya 40:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Ni nani anayeweza kupima maji ya bahari katika kitanga cha mukono wake, na kuzipima mbingu kwa mikono yake? Ni nani anayeweza kuutia udongo wa dunia katika kikombe; kuipima milima kwa mizani au vilima kwa kipimo cha uzito? အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |