Isaya 39:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Siku zinakuja ambapo vyote vinavyokuwa katika nyumba yako na vitu vyote babu zako walivyokusanya mpaka leo, vitapelekwa Babeli. Hakuna kitu chochote kitakachobaki. –Ni Yawe anayesema hivyo.– အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |