5 Halafu Isaya akamwambia Hezekia: Sikia neno la Yawe wa majeshi:
Halafu Isaya akamwuliza: Wameona nini katika nyumba yako ya kifalme? Hezekia akamujibu: Wameona yote yanayokuwa katika nyumba yangu ya kifalme. Hakuna chochote katika gala zangu ambacho sikuwaonyesha.
Samweli akamwambia Saulo: “Nyamaza! Nitakuambia jambo Yawe aliloniambia leo usiku.” Saulo akasema: “Uniambie.”