Isaya 35:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Litachanua maua kwa wingi kama waridi, litashangilia na kuimba kwa furaha. Mungu atalijalia utukufu wa milima ya Lebanoni, uzuri wa mulima Karmeli na wa bonde la Saroni. Watu watauona utukufu wa Yawe, watauona ukubwa wa Mungu wetu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |