Isaya 33:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Ewe Sayuni, kamba zako zimeregea, haziwezi kushikilia matanga yake, wala kufungia paa zao. Lakini vitu vingi vilivyonyanganywa vitagawanywa; hata vilema wataweza kupata sehemu yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |