Isaya 31:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Hapo Waasuria watauawa kwa upanga, lakini si upanga wa watu; wataangamizwa kwa upanga ambao ni zaidi ya ule wa wanadamu. Waasuria watakimbia na vijana wao watatumikishwa kazi za kitumwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |