Isaya 30:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kuporomoka kwa ukuta huo, ni kama kupasuka kwa chungu ambacho kimepasuliwa vibaya sana, bila kubaki kigae cha kuopolea moto ndani ya jiko, au kuchotea maji katika kisima. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |