Isaya 3:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200224 Kwa pahali pa harufu ya marasi watatoa uvundo; kwa pahali pa mikaba mizuri watatumia kamba; kwa pahali pa nywele nzuri watakuwa na upaa; kwa pahali pa nguo nzuri watavaa magunia; uzuri wao wote utageuka kuwa haya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |