Isaya 3:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Yawe anasema: Wanawake wa Sayuni wako na kiburi; wanatembea wakiinua kichwa juu, wakirembua macho yao kwa tamaa. Hatua zao ni za maringo, nao wanalilisha mikufu kwenye miguu yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |