Isaya 27:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Hivi ndivyo uovu wa wazao wa Yakobo utakavyoondolewa, hivi ndivyo zambi yake itakavyofutwa kabisa: ataziharibu mazabahu za miungu; mawe yake yatasagwasagwa kama chokaa. Sanamu za Ashera wala mazabahu za kufukizia ubani hazitabaki. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Watu wake walibomoa mazabahu za ibada za Mabali mbele yake na alikatakata mazabahu za kufukizia ubani zilizoinuliwa juu ya mazabahu hizo; vilevile alipondaponda sanamu za Ashera na zingine za kuchonga na za kuyeyusha; akazifanya kuwa mavumbi, nayo mavumbi akayamwanga juu ya makaburi ya wale ambao walizitolea sadaka.