Isaya 25:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 ni kama joto la jua juu ya inchi kavu. Lakini wewe unakomesha fujo ya wageni. Kama wingu linavyofifisha joto la jua, ndivyo unavyokomesha nyimbo za ushindi za watu wakali. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |