Isaya 25:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Maana wewe umekuwa kimbilio kwa wazaifu, pango kwa wakosefu katika taabu zao. Wewe ni kimbilio wakati wa zoruba, kivuli wakati wa joto kali. Kweli pigo la watu wakali ni kali kama zoruba inayopiga ukuta; အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |