Isaya 25:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Wewe, ee Yawe, ndiwe Mungu wangu; nitakutukuza na kulisifu jina lako, kwa maana umetenda mambo ya ajabu; unaitimiza kwa uaminifu na kweli mipango uliyoipanga tangu zamani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |