19 Yawe atakuongoa toka katika madaraka yako na kukuporomosha kutoka pahali unapokuwa.
Wewe unapenda ubaya kuliko uzuri, unapenda uongo kuliko ukweli.
Halafu miti yote katika inchi itajua kwamba mimi Yawe ninaishusha miti mirefu na kuinua miti mifupi. Mimi ninakausha miti mibichi na kustawisha miti yenye kukauka. Ni mimi Yawe ninayesema hayo na nitayafanya.
Amewashusha wafalme wenye uwezo, lakini amewainua wanyenyekevu.