Isaya 2:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Sasa, ee Mungu, umewatupa watu wako, wazao wa Yakobo. Maana kweli wachawi kutoka mashariki wamejaa kati yao; kuna waaguzi kama vile kwa Wafilistini. Wanashirikiana na watu wageni. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |