Isaya 2:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Mungu atafanya hukumu kati ya mataifa; ataamua maneno kati ya watu wengi. Watu watafua panga za vita kuwa majembe na mikuki yao kuwa visu vya kuvuna. Taifa halitapigana na taifa lingine wala hayatafanya tena mazoezi ya vita. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |