Isaya 2:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 juu ya mashua yote makubwa ya Tarsisi, na juu ya mashua yote mazuri. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Nitaweka kati yao kitambulisho cha uwezo wangu. Watakaookolewa kati yao nitawapeleka kwa watu wa mataifa kule Tarsisi, Puti, Ludi, inchi zenye wafundi wa kupiga upinde; watakwenda vilevile Tubali na Ugriki na katika visanga vya mbali ambapo watu hawajapata kusikia habari zangu wala kuuona utukufu wangu. Wale wajumbe wangu watautangaza utukufu wangu katika mataifa hayo.