Wana wa Sela mwana wa Yuda, walikuwa: Eri, mwanzilishi wa muji wa Leka; Lada, mwanzilishi wa muji wa Maresa, ukoo wa wafuma nguo za kitani waliokuwa wakiishi katika muji wa Beti-Asibea;
Kitani kilichopindwa vizuri kutoka Misri kilikuwa kwa kupamba tanga lako na kwa ajili ya bendera yako. Chandarua chako kilitengenezwa na nguo ya rangi ya samawi na nyekundu-nyeusi kutoka visanga vya Elisa.