Isaya 17:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Pango za Efuraimu zitatoweka, na utawala wa Damasiki utakwisha. Waaramu ambao watabaki wazima, hawatakuwa na utukufu zaidi kama wazao wa Israeli. –Ni ujumbe wa Yawe wa majeshi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |