Isaya 16:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Kwa hiyo ninalia pamoja na Yaweri kwa ajili ya mizabibu ya Sibuma. Machozi yananitoka kwa ajili yenu, enyi miji ya Hesiboni na Eleale; maana vigelegele vya mavuno ya matunda na ya ngano vimetoweka. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |