Isaya 15:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Watu wa Diboni wamepanda katika hekalu pahali pa juu kwa kuomboleza, watu wa Moabu wanalia kwa ajili ya Nebo na Medeba; vichwa vyote vimenyolewa upaa, ndevu zao zote zimekatwa kabisa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |